Nyumba ipo mbezi louis mtaa wa temboni, ina ukubwa wa 1.25 acres full fenced, Ina vyumba tisa vyote self contained,Nyumba za uwani mbili, Ina security quarters, Ipo umbali wa kilometer 3 kutoka bus stand, kilometer 1 kutoka main road, Inafaa kuwa Guest house, Yard, Hostel pia apartment. Tuma offer yako uweze ibuka mshindi.
Specification
Category | House |
---|