Nyumba inauzzwa ipo Mpanda mjini maeneo ya Tambuka Reli kama unaenda Stand kuu ya mabuss.
Nyumba ina vyumba vitano na sebule vitano, na chumba kimoja kimoja vitatu.
Mbele ina vyumba vinne, dining na sebule.
Nyumba ina hati ya mauziano.
Specification
Category | House |
---|---|
Nyumba ina hati ya mauziano. | Nyumba ina vyumba vitano na sebule vitano, na chumba kimoja kimoja vitatu. Mbele ina vyumba vinne, dining na sebule. |