Nyumba inauzwa ipo Tukuyu maeneo ya Tanesco.
Nyumb aina vyumba vitatu.
Nyumba ina ukubwa wa Sqm 1100.
Nyumba ina hati miliki.
Nyumba ipo karibu na barabara.
Specification
Category | House |
---|---|
Nyumba ina hati miliki. | Nyumba ina ukubwa wa Sqm 1100. |