Nyumba inauzwa ipo Mbezi Luguruni
Nyumba inafaa sana kwa matumizi kama
hostel, Pia ipo karibu kabisa na St Joseph University,
Na hata sasa inatumika kama hostel.
Nyumba ina ukubwa wa Sqm 406
Nyumba ina hati ya Makazi.
Specification
Category | House |
---|---|
Nyumba ina hati ya Makazi. | Nyumba ina ukubwa wa Sqm 406 |