favicon

Auction Details

product
0
Nyumba ipo mbeya uyole.
(0)

nyumba inauzwa kwa mnada ipo kata ya uyole mkoa wa mbeya.

25,000,000.00 Tsh
Eneo ni sqr 800. Ina hati ya mauziano Ipo karibu na kasoko na ni km 1 mpk barabara ya lami iyendayo dar. Ni nzr sana kwa kuishi na kufugia mifugo maana ina mabanda kwa.ndani.
Specification
Category House

We may use cookies or any other tracking technologies when you visit our website, including any other media form, mobile website, or mobile application related or connected to help customize the Site and improve your experience.
Read Policy