Nyumba inauzwa kwa mnada wa nmb.
Ipo Rujewa ubaruku mbarali Mbeya
Eneo lina ukubwa wa sqm 600
Pia ina hati miliki
Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, jiko , dining, store, na sebule
Bei ya makadirio ni ml 37
Specification
Category | House |
---|