Nyumba Inauzwa , Ina umiliki wa ofa, ipo plot namba 441 block c maeneo ya kaloleni wilaya ya kiteto kibaya mkoa wa Manyara, Ina ukubwa wa sqm 450 . Bei ya makadirio 20 milioni
Specification
Category | House |
---|