Nyumba iko kata ya ZUZU mkoa wa dodoma, ina umiliki wa hati ya mauziano inavyumba vitatu vyote master,dinning,sitting,kitchen na store,ukubwa wa sqm 1200,bei ya makadilio mil 15
Specification
Category | House |
---|