Nyumba ambayo ni boma pia kuna Godown,
Vipo, Biharamulo, kata ya Lusahunga karibu na kituo cha polisi cha Lusahunga,
Imetazamana na barabara kuu kuelekea Biharamulo,
Ukubwa makadirio ni Sqm 2000
Pana hati ya mauziano,
Godown nizuri kuweka mazao,
Boma lina vyumba vitatu vyakulala sebule choo na bafu kwa ndani

Specification
Category | House |
---|