Nyumba inauzwa ipo maeneon ya kata miyungi mkoa wa Dodoma,Ina umiliki wa hati ya mauziano , Ipo ndani ya fensi kuna nyumba tatu,zote za kisasa na moja ni mpya kabisa,zote zina vyumba vinne vinne,bei ya makadilio mil 90
Specification
Category | House |
---|